Sponsors

RIVERS OF THE WORLD ART EXHIBITION

Coventry, UK & Dar es Salaam and Bagamoyo

Tanzania Artworks - 2021

Onesho la River of the World Tanzania 2021 mtandaoni limeandaliwa na wataalamu wa jamii, wachoraji, walimu wa shule, wanafunzi na wataalamu wa teknolojia za kidijiti. Onesho hili linaendelezwa kwa ujuzi wa Tanzania kwa malengo ya kufikia watu wengi zaidi na kuchochea mjadala wa shuleni na jamii kupitia teknolojia za zamishi na yenye burudani. Wanafunzi na familia wananaweza kufaidi onesho hili kupitia ubao dijiti wa picha, pamoja na teknolojia zamishi za 360VR na matembezi ya 3D kwenye kijiji asilia cha mwambao. Ni matumaini yetu kuwa ubora na ujumbe uliobebwa kwenye picha zinazooneshwa zitachochea mijadala ya sanaa, utamaduni, utunzaji mazingira, kuvumiliana na hata haki za watoto.

benderatzIngia

River of the World Tanzania 2021 virtual exhibition has been made by local community mobilizers, art instructors, school teachers, students and multimedia specialist. The exhibition is curated by a local multimedia studio and seeks to improve acces and stimulate public and school dialogue using immersive and entertaining digital experiences. Schools and families are able to experience the exhibition in lightweight image galleries, 360 VR display and 3D walk in a virtual traditional village where most of the artworks draw inspiration. We hope that visual appeal and message contained in featured paintings act as catalysts in stimulating and sustaining dialogue on art, culture, conservation, tolerance and even children rights in your classroom and home.

ukflag Enter